kishtobe86
Member
- Jul 9, 2015
- 7
- 0
Habari za sikukuu wakuu naomba mnisaide hata ushaur nahitaji mtot ila tatzo nimeambiwa tatizo homon hazijabalance na mirija imeziba nahitaji kujua sehem nzur ya tiba ya kienjeji au hospital nisaidien jamn ndoa naanza kuiona chungu mapema
kwanza kabsa nakupa pole ndugu yangu, mimi nina maswali mawili, JE ULISHAWAHI KUFANYA MAPENZI KINYUME NA MAUMBILE,,, JE HUWA UNAJICHUA KUPITA KIASI???
Sijawahi kufanya hata kujaribu hayo mambo nayasikiaga tu yan mkuu
Kama upo hapa dar es salaam, kuna sehem pale lego-sinza wanatibu magonjwa sugu ya uzazi kama vile kuziba mirija ya uzazi, panaitwa SURE HERBAL CLINIC.Ila usianze kutumia dawa za asili kwanza,nenda kawaone hao jamaa wapo vizuri sana, jaribu kupiga hii namba yao (0716100100) watakupa maelezo zaidi, pole sana mkuu.
Asnte mkuu ngoj niwapigie