Ndio unaitaji leseni,na kila unachopeleka inabidi kiwe registered na kulipiwa kodi ya serikali.Kwa ushauri anza na Gold,almas,Tanzanite inaitaji uzoefu.(Almas,tanzanite ata kama ni kubwa kiasi gani crack au tuseme mpasuko unalishusha thamani)so you have to be very carefully.mtaji wako unatosha kama 1KG ya Gold,unaeza anza peleka Dubai,then mtaji ukukua ndo upeleke USA.lakini jua ya kuwa USA,China au ata Dubai 1 KG ni cha mtoto,at least 10 kg,but you cvan try goodluck