msaada jamii forum dr.

msaada jamii forum dr.

lufuo

Member
Joined
Feb 21, 2015
Posts
97
Reaction score
34
Naomba kuuliza ovulation au kupevushwa kwa yai la mwanamke huwa kunachukua muda gani masaa mangapi au siku ngapi. Ukijisikia kukoment sawa haujisikii naomba upite
 
Back
Top Bottom