L lufuo Member Joined Feb 21, 2015 Posts 97 Reaction score 34 Feb 28, 2015 #1 Naomba kuuliza ovulation au kupevushwa kwa yai la mwanamke huwa kunachukua muda gani masaa mangapi au siku ngapi. Ukijisikia kukoment sawa haujisikii naomba upite
Naomba kuuliza ovulation au kupevushwa kwa yai la mwanamke huwa kunachukua muda gani masaa mangapi au siku ngapi. Ukijisikia kukoment sawa haujisikii naomba upite