msaada jamii nna keybord ya laptop yangu haziendani.

msaada jamii nna keybord ya laptop yangu haziendani.

faszar

Member
Joined
Jun 11, 2012
Posts
59
Reaction score
4
nimebadilisha window nimeweka win xp. But keypad haziendani kama zlvyopangwa. Exp. @ ipo kwenye namba 2 but ukibonyeza inakuja ; msaada tafadhali.
 
mkuu nashauri ungeend kupost hii thread jukwaa la tech,gadget and science kwa msaada zaid
 
ni kwel...hapo umekosea barabara!!
 
kama ukibonyeza @ inakuja ;.. then bonyeza iyo ; itakuja @, iyo ni settings tu unaweza kuweka default settings ikawa kama kawaida.. google kupata hadi screen shots
 
Back
Top Bottom