sitaki kuamini kama ni kweli ila sikatai maana wabunge wetu watunga sheria ndo wametuletea sheria iliyo halalisha tozo.Kuna kijana alibambwa akiwa amejifungia chooni na Binti wa miaka 4 au 5 hivi akiwa ametelemsha suruali akijiandaa kumwingilia Binti huyo. Raia wema walifanikiwa kuufungua mlango wa choo na kumwokoa mtoto kabla hajadhurika. Njemba huyo alipelekwa kituoni na kuwekwa ndani. Kesho yake aliachiwa huru kwa maelezo kuwa sheria ya kubaka Haina Kipengele Cha kukusudia ni mpaka tendo lifanyike. Hivi ni kweli ndivyo ilivyo?
Rudi kawaulize polisi amewalipa kiasi gani?Kuna kijana alibambwa akiwa amejifungia chooni na Binti wa miaka 4 au 5 hivi akiwa ametelemsha suruali akijiandaa kumwingilia Binti huyo. Raia wema walifanikiwa kuufungua mlango wa choo na kumwokoa mtoto kabla hajadhurika. Njemba huyo alipelekwa kituoni na kuwekwa ndani. Kesho yake aliachiwa huru kwa maelezo kuwa sheria ya kubaka Haina Kipengele Cha kukusudia ni mpaka tendo lifanyike. Hivi ni kweli ndivyo ilivyo?
Kosa la kujaribu kubaka lipo na adhabu ya juu ni kifungo cha maisha.Sema vigezo vya kosa lenyewe havijatimia.Kosa la kubaka halitokei kwa mtoto chini ya miaka 18 bali Kuna kunajisi.Kuna kijana alibambwa akiwa amejifungia chooni na Binti wa miaka 4 au 5 hivi akiwa ametelemsha suruali akijiandaa kumwingilia Binti huyo.
Raia wema walifanikiwa kuufungua mlango wa choo na kumwokoa mtoto kabla hajadhurika. Njemba huyo alipelekwa kituoni na kuwekwa ndani.
Kesho yake aliachiwa huru kwa maelezo kuwa sheria ya kubaka Haina Kipengele Cha kukusudia ni mpaka tendo lifanyike. Hivi ni kweli ndivyo ilivyo?
Je kuna kosa la kujaribu kuiba?Kosa la kujaribu kubaka lipo na adhabu ya juu ni kifungo cha maisha.Sema vigezo vya kosa lenyewe havijatimia.Kosa la kubaka halitokei kwa mtoto chini ya miaka 18 bali Kuna kunajisi.