Daniel Jack
New Member
- Aug 11, 2013
- 1
- 0
Yes "ina soko" if I know what you mean. Na SUA ndo mahala pake I think.
You are right Job K ..ninafahamu vizuri attitude za vijana wetu karibu wote amabo mfumo wa elimu yetu na mfumo mzima wa socio-economics zetu unazalisha. Ndio maana nikaandika "soko" in inverted commas. Mungu atatusaidia tutafika tu...kama sio sisi basi wajukuu zetu.Hapo umenena mkuu, soko lake lipo sana hasa kwenye NGOs! Ila taabu yangu na elimu yetu, tunawaza kuajiriwa tu na si vinginevyo! Kwa nini mtu usitafute mawazo ya kujiajiri? Kwa mfano mimi ninayetaka kwenda kusoma Vet. ningeuliza hivi nafasi yake ya kujiajiri ikoje wadau? Humu najua watu wangeshuka si kidogo! Hii kasumba tumepandikizwa tangu huko kitaa, mwanangu soma sana uje upate kazi nzuri! JAMANI TUBADILI MTAZAMO!!
You are right Job K ..ninafahamu vizuri attitude za vijana wetu karibu wote amabo mfumo wa elimu yetu na mfumo mzima wa socio-economics zetu unazalisha. Ndio maana nikaandika "soko" in inverted commas. Mungu atatusaidia tutafika tu...kama sio sisi basi wajukuu zetu.