Wanajamii forum naomba msaada. me nimemaliza kidato cha mwaka jana na nipata division three ya point 25 je naweza kuchaguliwa kujiunga na kidato cha tana?
Madaraja niliyo yapata ni kama ifuatavyo:
PHYSICS😀
CHEMISTRY:C
BIOLOGY:B
B/MATHEMATICS:C
KISWAHILI:+B
HISTORY😀
GEOGRAPHY:C
CIVICS:C
ENGLISH:B