..SABABU ZA MPASUKO..
Kwenye uke{VIGINAL FEASURES & ABRASSION}
1>Upungufu wa Estrogen hormone.
Hormone hii inasaidia kuzalisha majimaji ya uke,kuimarisha ngozi ya uke,n.k
..SABABU ZA upungufu wa estrogen hormone..
a)mawazo na hofu,unywaji pombe kupindukia,uvutaji sigara,kutopata chakula bora,matumizi ya madawa mf:Natarelin,Tamaxifin,n.k
2>Allerge ya Kondom.
3>Vijidudu kwenye uke {Bacterial infections. Eg:Bacterial vaginitis & Candidiasis}
4>Kujamiiana bila kumuandaa mwanamke vizur.n.k
.......KINGA NA TIBA......
1>MUONE DACTARI.
Kwasababu tiba utapewa kulingana na sababu za mipasuko yako.
2>OLIVE OIL,COCONUT OIL,ALOE VERA JUICE,N.K
Paka mafuta hayo yanamsaada mkubwa ktk tatizo la mpasuko kwenye uke.
3>ANTIBIOTICS IN CASE OF BACTERIA IS A CAUSATIVE AGENT.
4>KULA CHAKULA BORA.
Hii inaimarisha uzalishaji wa estrogen hormone.
5>KUANDAANA VYEMA KABLA YA TENDO LA NDOA.
6>KUACHA UVUTAJI WA SIGARA,UNYAJI POMBE KUPINDUKIA,KUTUMIA CREAMS KWENYE UKE,n.k
7>kuepuka msongo wa mawazo wakati wa kujamiana.
....MWAMBUNGU...