Habari wanajamiiforums,
Nina mpango wa kuagiza toyota IPSUM toka japani na gari nimeshalichagua ila gari yenyewe imeongezewa mabampa kama mishale kwenye picha inavyoonyesha. Mapampa haya yanaifanya gari kuwa chini na yatachakaa mapema sasa nafikiria gari ikifika bongo niende kwa mafundi body wakayatoe, swali ni kuwa je hii inawezekana kufanyika? Naomba msaada wenu tafadhali