Body kit ama waweza kuziita carkit,gari ikiwa japan ukiona ina carkit basi jua kwamba huwezi kuzitoa lakini kama ukiagiza gari likaja huku halina bodykit halafu ukaweka hapa nchini unaweza kutoa.
Tofauti ni kwamba za hapa nchini ni kama zinapachikwa tu kwa chini
Chagua gari ingine.
Au ilete hiyo gari bongo uje kuuza hizo bampa.
Ahsanteni sana kwa ushauri wakuu je cha kufanya hapa ni kufanya mchakato huko huko japani zitolewe (namaanisha bampa zima pamoja na huo urembo waliouongeza) then ziwekwe zingine ambazo ni za kawaida halafu ndo ije bongo ingawa nitaingia extra costs ,au je naweza agiza kama ilivyo then nikaja zitolea bongo na kuweka haya mabampa ya kawaida?unatoaje bampa za gari ya watu iko japan ....afu hizo ni kama hazitoki mkuu
VINATOKA VIOO, ZITAKUWA HIZO. ZINATOKA TU HIZO MKUU. TUMIA GRINDA.Habari wanajamiiforums,
Nina mpango wa kuagiza toyota IPSUM toka japani na gari nimeshalichagua ila gari yenyewe imeongezewa mabampa kama mishale kwenye picha inavyoonyesha. Mapampa haya yanaifanya gari kuwa chini na yatachakaa mapema sasa nafikiria gari ikifika bongo niende kwa mafundi body wakayatoe, swali ni kuwa je hii inawezekana kufanyika? Naomba msaada wenu tafadhaliView attachment 798436 View attachment 798437 View attachment 798439
Kama umeipenda ilete,na kama unadhani ukiyatoa hataathiri muonekano wa gari na upendo wako kwa gari lako hamna tabu.Just ikija wapelekee wachina city spring garage au hata pale magomeni makanyanya kuna gereji nzuri watatoa vzr hizo hata mtu hajui.Habari wanajamiiforums,
Nina mpango wa kuagiza toyota IPSUM toka japani na gari nimeshalichagua ila gari yenyewe imeongezewa mabampa kama mishale kwenye picha inavyoonyesha. Mapampa haya yanaifanya gari kuwa chini na yatachakaa mapema sasa nafikiria gari ikifika bongo niende kwa mafundi body wakayatoe, swali ni kuwa je hii inawezekana kufanyika? Naomba msaada wenu tafadhaliView attachment 798436 View attachment 798437 View attachment 798439
Duh Grinder tena!VINATOKA VIOO, ZITAKUWA HIZO. ZINATOKA TU HIZO MKUU. TUMIA GRINDA.
Thanks kwa ushauri, ngoja nikawaulize hao wachina kwanza, na hao wa magomeni pia kabla sijaagizaKama umeipenda ilete,na kama unadhani ukiyatoa hataathiri muonekano wa gari na upendo wako kwa gari lako hamna tabu.Just ikija wapelekee wachina city spring garage au hata pale magomeni makanyanya kuna gereji nzuri watatoa vzr hizo hata mtu hajui.
[HASHTAG]#tii[/HASHTAG] kiu yako
Poa thanks kwa ushauri! cheerskwanini ununue gari ambayo unaona kabisa itafikia gereji kuanza kukatwa na wakati kuna magari meengi mazuri yenye kulingana bei na hilo?