Msaada: Je, inawezekana kwa mtu binafsi kuanzisha sehemu ya biashara ya mnada?

Msaada: Je, inawezekana kwa mtu binafsi kuanzisha sehemu ya biashara ya mnada?

nyahinga

Member
Joined
Dec 18, 2016
Posts
45
Reaction score
23
Uhali gani mwana Jamii Forum, natumaini umzima kabisa.

Husika sana na title hapo, napenda kuuliza: Inawezekana kwa mtu binafsi kuanzisha sehemu ya biashara zinazofanyika hasa vijijini ambazo zinafahamika kama minada, kawaida minada hii huwa na siku maalum kwa kila wiki. Je Kuna utaratibu wowote wa kufuata kama inawezekana kuanzisha hiyo business na kuruhusu watu kuja na bidhaa zao kuuza?

Ahsanteni sana wadau.
 
Back
Top Bottom