MSAADA: Je, kati ya Suzuki Jimny na Suzuki Kei ipi inafaa kwa safari ndefu?

MSAADA: Je, kati ya Suzuki Jimny na Suzuki Kei ipi inafaa kwa safari ndefu?

CHITAKO

Member
Joined
Jul 13, 2017
Posts
31
Reaction score
10
Poleni na kazi wadau,

Naomba kujuzwa kati ya gari aina ya suzuki jimny na suzuki kei, ni ipi inafaa kwa safari ndefu pia perfomance ya injini kwa zote ikoje.

Ninatanguliza shukrani.
 
Jimny wide ni safi sana, kumbuka ziko Suzuki Jimny, Suzuki Jimny wide, na Suzuki Jimny wide sport, Jimny wide sport ni bomba mno, umbali wowote ule unakwenda bila shida, hata kama ni nje ya nchi, ww tu!!

Mkuu nakubali. Jimny Wide ipo poa sana
 
Back
Top Bottom