Jimny wide ni safi sana, kumbuka ziko Suzuki Jimny, Suzuki Jimny wide, na Suzuki Jimny wide sport, Jimny wide sport ni bomba mno, umbali wowote ule unakwenda bila shida, hata kama ni nje ya nchi, ww tu!!
Jimmy wide is my dream
Ichukue tu. Ni gari ya uhakika
[/QUOT vp kuhusu suzuki jimney ya kawaida kaka,Ina mapungufu yapi?