ngumu, ila kwa E unaweza tumia internet kubrowse na hata kuangalia youtube kwa quality ndogo za 144p na 240p. cha muhimu tafuta simu yenye opera mini na funga mahitaji ya data yasiyo na lazimaKwa anejua tu,
Nipo kijijini sana (chaka nasaka pesa shambani), mitandao ya simu inayopatikana ni Vodacom na Halotel. Network kwa ajili ya Voice call na SMS hazisumbui kabisa ila shida ipo kwenye internet tu.
Network speed ni Edge tu (E) kwa mitandao ya Vodacom na Halotel. Naomba kujuzwa kama kuna kifaa au njia yoyote ambayo inaweza kufanikisha kupata hata 3G.