Msaada: Je Mwanamke anaweza kupata mimba wakati mrija (fallopian tube) wa upande mmoja umeziba?

tamsana

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2012
Posts
3,739
Reaction score
8,044
Habarini ndugu wana Jamvi.
Mke wangu amegundulika kuwa ana tatizo la kuziba kwa mrija (fallopian tube) wa upande mmoja, hivyo napenda kufahamu kuwa, je bado ataweza kupata mimba kupitia mrija wa upande mmoja ambao uko salama? Nini cha kufanya ili apate mimba au apone hilo tatizo?
Natanguliza shukurani.
 
Uwezekano upo tena mkubwa tu. Kwani mayai huwa yana toka kwa zamu kutoka kila pande. Mwez huu likitoka huku basi ujao utoka upande mwngne. So kama 1 imezba sehmu nyngne hutoa yai zamu ikifika.
 
Anaweza kupata mimba but lazima mayai anayotengeneza kutoka katika upande uliosalama yawe yanakomaa,mwanaume uwe na uwezo wa kuzalisha pia cha muhimu zaidi mfanye mapenzi siku ambazo n fertile,Remember conception happen by chanse
 
mke wangu ana single fallopian tube and we have a beautifull daughter miriam...anapata bila matatizo..
Asante sana kwa ushuhuda, umenifanya niwe na nguvu maana nilikuwa nawaza sana
 
Uwezekano upo tena mkubwa tu. Kwani mayai huwa yana toka kwa zamu kutoka kila pande. Mwez huu likitoka huku basi ujao utoka upande mwngne. So kama 1 imezba sehmu nyngne hutoa yai zamu ikifika.
Asante kwa ushauri
 
Back
Top Bottom