Anaweza kupata mimba but lazima mayai anayotengeneza kutoka katika upande uliosalama yawe yanakomaa,mwanaume uwe na uwezo wa kuzalisha pia cha muhimu zaidi mfanye mapenzi siku ambazo n fertile,Remember conception happen by chanseHabarini ndugu wana Jamvi.
Mke wangu amegundulika kuwa ana tatizo la kuziba kwa mrija (fallopian tube) wa upande mmoja, hivyo napenda kufahamu kuwa, je bado ataweza kupata mimba kupitia mrija wa upande mmoja ambao uko salama? Nini cha kufanya ili apate mimba au apone hilo tatizo?
Natanguliza shukurani.
AhsanteAsante kwa ushauri