Mimi ni mtumishi wa serikali na nimenunua gari aina ya Raum new model mwaka 2005 na nimeprocess form zote za exemption na kufuata utaratibu wote lakini nimeenda TRA wamenambia kuwa sistahili kupata exemption kwa sababu gari langu ni la 2005,,ila najiuliza gari langu lipo ndani ya miaka kumi je TRA wako sahihi au niendelee kwenda mbele?
Nawasilisha.
Nashukuru sana wadau ingawa nilipanic kidogo......ngoja nijikusanye