Thomas andrew
Senior Member
- Feb 4, 2013
- 150
- 44
sasa kuingia wapi? ndugu au kuinia mbingun?
Advnc kw comb yny Hstry
Thkx kaka 10x God. Dah minutes nlikuw natfuta crdt 3 nkarct n zte nimepta
Samahanii jamni kutokana na mfumo mpya sijajua kama hapa combination yenye history yakubalika! Nimepata History E. Geography C. Civics D. English C. Math F. Literature E. Kiswahili B. Biology D. Chemistry D. Je history itakubali o lazima ngekuwa na D
mkuu me navojua kama ulikuwa unarisit advance unaenda lakn kama ni fresh f4 advance huna mana advance u murt have 3c i mean creditz.
kwa uandishi huu Advance lazima uchemshe