Msaada: Je, naweza uambukizwa UTI kwa kujamiiana?

Msaada: Je, naweza uambukizwa UTI kwa kujamiiana?

Hildafranc

Senior Member
Joined
Jan 29, 2015
Posts
103
Reaction score
32
Habari zenu wadau,poleni na najukumu.

Naomba nipate utalaamu wenu katika hili wadau,nimemaliza dozi ya U.T.I na nimepona ni vipi nikikutana na mume wangu kimwili anaweza kuniambukiza ingawa yeye hana dalili yeyote ya U.T.I. au aende hospital kwanza akapime na yeye?
 
Back
Top Bottom