mpige mkeo kwa kutofuata maelekezo ya daktari.. atakuwa anafanyamambo mengi tofauti na maelekezo yakoHabarin wakuu,
Nimepata tatzo hapa,kwa bahat mbaya mke,amepaka hii dawa mtoto maeneo ambayo. Imekatazazwa kama kichwani,na usoni,ndio gafla ameanza kulia, tumejaribu muogesha sana na maji ndio amepata usingiz na nimeshindwa kwenda kituo cha kariibu cha afya MSaada,je nikisubil hadi Kesho asubh ili nimwahishe hospital itakua na madhara zaod kwa mtoto?
Alinunua kwa ajili ya kumpaka kwa tatizo LA vipere alivyonavyo mtoto,sasa bahati mbaya kapaka maeneo ambayo yamekatazwa kama,kichwan,usoni
Alipikicha macho ndio akaanza kulia,hvyo na hofu kugusa machoni ila baada ya kugundua nimewah sana kumwosha macho na mwil wote, amenyonya na sasa usingiz umempitia,sasa sijui kwa scenario hii akilala had Kesho asubuh itakua imeleta madhara sana mkuu?Pole sana mkuu. Hiyo dawa ni ya kutibu scabies (Upele). Haina madhara sana kama haijamuingia mtoto machoni, masikioni na kinywani. Ina kawaida ya kuwasha kama inaunguza sehemu inapopakwa, inawezekana ndio maana mtoto akapata discomfort. Ila kwa kuwa umemuosha vyema muache apumzike kwa sasa. Ila inatakiwa uangalizi wa karibu. Natumaini asubuhi ataamka salama. Kama asubuhi akiamka amevimba usoni muwahishe hospitali. Poleni sana,ndio uzazi.
Siku nyingine mkeo amkamulie maziwa kwenye macho. Hata leo akiamka amkamulie. Yanasaidia kusafishaAlipikicha macho ndio akaanza kulia,hvyo na hofu kugusa machoni ila baada ya kugundua nimewah sana kumwosha macho na mwil wote, amenyonya na sasa usingiz umempitia,sasa sijui kwa scenario hii akilala had Kesho asubuh itakua imeleta madhara sana mkuu?
Maana hapa ninapoish kwa muda huu access ya huduma ya afya ni tatzo sana
Kuwahi kumuosha hiyo ni huduma ya kwanza muhimu katika mazingira hayo. Na kama amepata usingizi ni kiashiria tosha ya kwamba muwasho wa dawa umepungua au umetoweka kabisa. In the meantime mtoto anatakiwa kupata uangalizi wa karibu tu mpaka asubuhi itakapowadia. Alipokuwa anafikicha macho alikuwa anakohoa? Kama hapana, nakushauri Uwe na Amani mpaka asubuhi ndugu.Alipikicha macho ndio akaanza kulia,hvyo na hofu kugusa machoni ila baada ya kugundua nimewah sana kumwosha macho na mwil wote, amenyonya na sasa usingiz umempitia,sasa sijui kwa scenario hii akilala had Kesho asubuh itakua imeleta madhara sana mkuu?
Maana hapa ninapoish kwa muda huu access ya huduma ya afya ni tatzo sana
Hajakohoa Mkuu,zaid alipikichatua macho na tulipomuosha maji ,ndio akalala,..nashukuru Sana Mkuu,Mungu akubarik SanaKuwahi kumuosha hiyo ni huduma ya kwanza muhimu katika mazingira hayo. Na kama amepata usingizi ni kiashiria tosha ya kwamba muwasho wa dawa umepungua au umetoweka kabisa. In the meantime mtoto anatakiwa kupata uangalizi wa karibu tu mpaka asubuhi itakapowadia. Alipokuwa anafikicha macho alikuwa anakohoa? Kama hapana, nakushauri Uwe na Amani mpaka asubuhi ndugu.
Nashukuru Sana Mkuu,zaid alimnyonyesha tuu,na mtoto amelala sasaSiku nyingine mkeo amkamulie maziwa kwenye macho. Hata leo akiamka amkamulie. Yanasaidia kusafisha
Nashukuru Mungu,sema tutakua hatuja tatua tatizo LA kumuokoa mtotompige mkeo kwa kutofuata maelekezo ya daktari.. atakuwa anafanyamambo mengi tofauti na maelekezo yako
Pamoja sana mkuu. Mtoto atakuwa salama. Anything utaleta mrejesho hapa jukwaani.Hajakohoa Mkuu,zaid alipikichatua macho na tulipomuosha maji ,ndio akalala,..nashukuru Sana Mkuu,Mungu akubarik Sana
Akiamka amkamulie maziwa ni mazuri Mno. Akiwa ananyonya yanatoka straight my avoid contamination.Nashukuru Sana Mkuu,zaid alimnyonyesha tuu,na mtoto amelala sasa
Kwa siku nyingine likitokea tatizo kama hilo amkamulie tu maziwa hata kama sabuni imemwingia machoni amkamulie maziwa yake yanasaidia sana.Nashukuru Sana Mkuu,zaid alimnyonyesha tuu,na mtoto amelala sasa
Kwaiyo ulimpiga na mkeo, maana ni ushauri uliotolewa hapo juuAhsanteni Sana Wakuu,kwa mawazo yote chanya mliyonipa,Mungu ni mwema mtoto hajambo kabisa sasa.
Mkiambiwa muoe wanawake wasomi mnajitia vichwa ngumu kutaka wa kuwasujudia, alafu mnasingizia bahati mbaya, bahati mbaya gani hiyo kama si ukosefu wa umakini? Ipo siku wewe utasafiri mkeo kwa sababu ya uzwazwa wake atamnywesha mtoto dawa iliyo expire au ilisiyotakiwa kunywa hapo ndio utakuja kujua kama ujinga mzigo na unaweza kusababisha kifoPamoja sana mkuu. Mtoto atakuwa salama. Anything utaleta mrejesho hapa jukwaani.
Mungu atubariki sote na vizazi vyetu.
Mkiambiwa muoe wanawake wasomi mnajitia vichwa ngumu mnataka wa kuwasujudia baada ya kuwapa kula alafu hapa jukwaani mnasingizia bahati mbaya, bahati mbaya gani hiyo kama si ukosefu wa umakini na uwezo wa kufikiri? Ipo siku wewe utasafiri mkeo kwa sababu ya uzwazwa wake atamnywesha mtoto dawa iliyo expire au ilisiyotakiwa kunywa hapo ndio utakuja kujua kama ujinga ni mzigo na unaweza kusababisha kifoAhsanteni Sana Wakuu,kwa mawazo yote chanya mliyonipa,Mungu ni mwema mtoto hajambo kabisa sasa.