Msaada: Je, ni lazima account ya youtube kusajiliwa na kulipia TCRA?

Msaada: Je, ni lazima account ya youtube kusajiliwa na kulipia TCRA?

ngaiwoye

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2014
Posts
2,150
Reaction score
3,225
Wakuu, naomba kueleweshwa ni kweli kwamba account zote za youtube hapa Tanzania ni lazma zisajiliwe na kulipia TCRA? JE malipo yake yanakuwaje?

Sheria inasemaje?
 
Nimeona na kuisoma lakini youtube haitajwi hapo
youtube channel zinazosajiliwa ni zile zinazo-jihusisha na habari mfano millard ayo & jubon online lakini hizo zingine za toturial za smartphone na kompyuta ni bure (free) kabisa kwaio kama umeamua kufungua channel ya habari nenda ukaongee na wazee wa tcra kwanza usije ukavalishwa bangili..
 
Back
Top Bottom