Greater thinker JF-Expert Member Joined Sep 12, 2011 Posts 286 Reaction score 38 Mar 6, 2013 #1 Naombeni msaada juu ya swali hilooo...je kwa tanzania ni lazima mdhndi wa kiti cha uraisi afikie kura za 50% ya kura zote au hata kama akiwa na 40% na kuwazidi wagombea wote???
Naombeni msaada juu ya swali hilooo...je kwa tanzania ni lazima mdhndi wa kiti cha uraisi afikie kura za 50% ya kura zote au hata kama akiwa na 40% na kuwazidi wagombea wote???
E emgitty06 Senior Member Joined Aug 2, 2012 Posts 141 Reaction score 26 Mar 6, 2013 #2 Hapana japo kuwa hali ilikuwa hivyo hapo awali