Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Deep poll ni doc ya kisheria inayobadilisha majina yako
Lakini affidavit ya majina inatumika kwa muda tu muafaka na unachopeleka ni ile doc original ya affidavit
Hivyo kuepuka kuandaa kila wakati hiyo affidavit ya majina andaa deed poll
Inategemea na maekewanokuandaa Hyo Deep poll inagalimu shiling
sijaelewa neno la mwishoInategemea na maekewano
[emoji817][emoji736][emoji736]Deep poll ni doc ya kisheria inayobadilisha majina yako
Lakini affidavit ya majina inatumika kwa muda tu muafaka na unachopeleka ni ile doc original ya affidavit
Hivyo kuepuka kuandaa kila wakati hiyo affidavit ya majina andaa deed poll
Andaa deed poll ndugu.Hahitaji kujua nini natakiwa kuandaa kati ya Deed Poll au Affidavity?
Mimi jina langu limekosewa herufi moja na haibadilishi maana ya jina.
Badala ya Mohamed, likakosewa kwa kuongezewa herufi “i” yaani Mohamedi
Je, nini nifanye?
Ukiondoa gharama za mwanasheria ,nauli kula na kulala pale dodoma wizara ya ardhi unalipia 35k.kuandaa Hyo Deep poll inagalimu shiling
Hii kukosea kuandika jina litakiwa litangazwe kuwa janga la kitaifa kwa Tanzania. Hali ni mbaya sana sana. Uzembe unaanzia kwenye kuandika maneno ya kawaida kabisa ya kiswahili kama gari/gali, tafadhali/tafadhari, hakuwepo/akuwepo, anachelewa/hanachelewa nk. BTW jina lako limekosewa na nani/mamlaka gani? Ilikuwa uzembe wa nani mpaka ukafikia hapo? Nauliza hivyo kwa sababu kama ni cheti. mamlaka iliyotoa kama ilifanya makosa ndiyo ya kubana irekebishe.Hahitaji kujua nini natakiwa kuandaa kati ya Deed Poll au Affidavity?
Mimi jina langu limekosewa herufi moja na haibadilishi maana ya jina.
Badala ya Mohamed, likakosewa kwa kuongezewa herufi “i” yaani Mohamedi
Je, nini nifanye?
Je kama ,majina ya vyeti vya taaluma ni mawili, lakini kwenye namba ya nida ni matatu, kuapply ajira portal,ninaandaa affidavit au deed poll