Mtumie yule mshauri wa Pro-pesa, nimesahau jina lake, Mtungi, Mitungi, Mutungi ana jina limefanana na hilo, ni mshauri mzuri. Ukibahatika rafiki yako atapatiwa barua ya utambulisho pia ili uipeleke kwa mwajiri Private. Hilo la kutengua barua ya kuacha kazi linawezekana kupitia huyo mshauri niliyekuelekeza.Je unaweza kuandika barua ya kutengua kuacha kazi/kujiuzulu kuna rafiki yangu alipata ajira serikalini mwaka huu kwa iyo akaamua kuacha kazi private na kwenda serikalini sasa anasema ajira yake imesimamishwa je anaweza kurudi tena private kwa kuandika barua ya kutengua kuacha kazi ushauri please
Weka swar vzur upate msaada baada ya kutoka private na kwenda serikain huku private aliondokaj? Kienyej au kivipJe unaweza kuandika barua ya kutengua kuacha kazi/kujiuzulu kuna rafiki yangu alipata ajira serikalini mwaka huu kwa iyo akaamua kuacha kazi private na kwenda serikalini sasa anasema ajira yake imesimamishwa je anaweza kurudi tena private kwa kuandika barua ya kutengua kuacha kazi ushauri please