Ni mara ya kwanza kujitokeza jukwaa la wataalamu wa afya, nina matatizo mawili
1. Ningependa kujua athari za kunywa maji ya baridi sana, mimi huwa nakunywa maji ya baridi SANA na mara nyingi nakosana na gf wangu, cha ajabu sijawahi kupata matatizo yoyote.
2. Huwa napata maumivu makali upande wa kulia wa tumbo (maeneo ya appendix au ini, sina uhakika ) nilienda hospitalini kufanyiwa uchunguzi wa kina ila madaktari hawakuona tatizo, nakosa raha hasa maumivu yakianza.
Naomba msaada na ushauri!