Msaada JF dokta

Msaada JF dokta

Chimunu

Senior Member
Joined
Mar 4, 2013
Posts
159
Reaction score
25
Nimekuwa nikisumbuliwa na kucheza jicho la kulia juu mara kwa mara na nikiulizia naambiwa kiimani ina ashiria jambo je ni jambo lipi linaloweza nipata kutokana na hali niliyoieleza hapo juu mwombeni msaaada wenu memba
 
hiyo inaitwa fasciculation, una upungufu nadhani wa madini flani, magnesium kama nipo sahihi
 
Probably ni Nystagmus, cnt be treated may be via operation
 
Nimekuwa nikisumbuliwa na kucheza jicho la kulia juu mara kwa mara na nikiulizia naambiwa kiimani ina ashiria jambo je ni jambo lipi linaloweza nipata kutokana na hali niliyoieleza hapo juu mwombeni msaaada wenu memba
Jicho la kulia kucheza sio maradhi na kiiamani ina ashiria wewe utasikia au kupatwa na habari ya msiba au kitu cha kukuhuzunisha katika maisha yako.
 
Nimekuwa nikisumbuliwa na kucheza jicho la kulia juu mara kwa mara na nikiulizia naambiwa kiimani ina ashiria jambo je ni jambo lipi linaloweza nipata kutokana na hali niliyoieleza hapo juu mwombeni msaaada wenu memba
Usiwe na hofu kabisa kiimani haitokei maranyingi kiasi hicho... Hiyo kitu ina mahusiano na muscle twitching na kuna visababishi anuwai pata ushauri wa daktari bingwa wa mishipa
 
Asanteni kwa majibu yenu wana jf
 
Back
Top Bottom