Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hata kama mswaki utakuwa umekauka?unaweza kupata
wahi hospitali kabla ya saa72 watakupa dawa ya kuzuia maambukizi na hautokua mwathirika kamwe!!
ukichelewa dawa haitofanya kazi.
kuna Mtoto wa dada Yangu alikuwa anaishi na kaka Yangu kilichofanyika kaka Yangu katupigia Simu eti Mtoto wa Dada Yangu katumia miswaki yetu na tumekwenda kupima wakawa wameathirika ndiyo nikasema ngoja niulize hapa jf.Hyo itategemea kama kwel alipokuwa anautumia mswaki aliweza kupata mchubuko ndani ya kinywa chake,hyo ndo mawazo yang wengine wanisaidie nawasilisha
kuna Mtoto wa dada Yangu alikuwa anaishi na kaka Yangu kilichofanyika kaka Yangu katupigia Simu eti Mtoto wa Dada Yangu katumia miswaki yetu na tumekwenda kupima wakawa wameathirika ndiyo nikasema ngoja niulize hapa jf.