msaada jf

zamlock

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2010
Posts
3,840
Reaction score
659
Jamani naombeni kufahamishwa kama muathilika wa H.I.V katumia mswaki wako ikapita saa moja ukautumia bila kujua je unaweza pata maambukizi.
 
unaweza kupata
wahi hospitali kabla ya saa72 watakupa dawa ya kuzuia maambukizi na hautokua mwathirika kamwe!!
ukichelewa dawa haitofanya kazi.
 
hata kama mswaki utakuwa umekauka?
 
Hyo itategemea kama kwel alipokuwa anautumia mswaki aliweza kupata mchubuko ndani ya kinywa chake,hyo ndo mawazo yang wengine wanisaidie nawasilisha
 
kuna Mtoto wa dada Yangu alikuwa anaishi na kaka Yangu kilichofanyika kaka Yangu katupigia Simu eti Mtoto wa Dada Yangu katumia miswaki yetu na tumekwenda kupima wakawa wameathirika ndiyo nikasema ngoja niulize hapa jf.
 
Yote yanawezekana, kikubwa ni kuchukua tahadhali. Kama umebaini hilo mapema ni vema ukawahi hospital upate ushauri wa kitabibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…