Heshima mbele,
Mini niasumbuliwa na jicho moja la upande wa kushoto linawasha sana hadi nahisi mishipa inauma. Hii imekuwa kwa mda kama siku nne. Kuna mda nakuwa nipo kawaida tu lakini nikilikusa tu kwa kulipikicha,naweza tumia hata robo saa na lipikicha linatoa hadi machozi,please naomba msaada wenu kwa anayeweza maana hapa nipo mbali na daktari wa macho. Please nateseka sana.
Ahsanteni sana