iron woman Senior Member Joined Apr 22, 2013 Posts 147 Reaction score 19 Nov 10, 2019 #1 Habari zenu chefs, Naomba kujua nifanyaje jiko la gas la plates lilikaa muda bila kutumika. Sasa zile switch za kuwashia hazizunguki hivyo siwezi kuwasha. Naomba kujua nifanyaje ili lizunguke? Kwa yeyote mwenye utaalamu hapo. Asante.
Habari zenu chefs, Naomba kujua nifanyaje jiko la gas la plates lilikaa muda bila kutumika. Sasa zile switch za kuwashia hazizunguki hivyo siwezi kuwasha. Naomba kujua nifanyaje ili lizunguke? Kwa yeyote mwenye utaalamu hapo. Asante.
chuma cha reli JF-Expert Member Joined Jul 2, 2012 Posts 2,764 Reaction score 2,559 Nov 10, 2019 #2 Weka kilainishi chochote kama mafuta hasa kwa nyumbani nyunyizia mafuta taa ili kulainisha izo kutu kutu pia unaweza kutumia mafuta ya cherehani Naamini itadaidia
Weka kilainishi chochote kama mafuta hasa kwa nyumbani nyunyizia mafuta taa ili kulainisha izo kutu kutu pia unaweza kutumia mafuta ya cherehani Naamini itadaidia
iron woman Senior Member Joined Apr 22, 2013 Posts 147 Reaction score 19 Nov 10, 2019 Thread starter #3 Asante ila mafuta nayaweka kwa wapi naona kotekumefungwa chuma cha reli said: Weka kilainishi chochote kama mafuta hasa kwa nyumbani nyunyizia mafuta taa ili kulainisha izo kutu kutu pia unaweza kutumia mafuta ya cherehani Naamini itadaidia Click to expand...
Asante ila mafuta nayaweka kwa wapi naona kotekumefungwa chuma cha reli said: Weka kilainishi chochote kama mafuta hasa kwa nyumbani nyunyizia mafuta taa ili kulainisha izo kutu kutu pia unaweza kutumia mafuta ya cherehani Naamini itadaidia Click to expand...