Msaada jikoni: Dondoo ya tende shake

Msaada jikoni: Dondoo ya tende shake

Kipilipili

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2010
Posts
2,272
Reaction score
1,897
Habari za jikoni wapishi! Nimeona fursa ya biashara mahala, wateja wanahitaji TENDE SHAKE na bei yake(as per market research) ni nzuri!naomba dondoo ya utengenezaji!
Wasalam
Mapishi mema!
 
Subiri waje wataalam. Mi nnojua ya kunywa nyumbani ambayo ina gharama sana huenda usipate faida.
 
Back
Top Bottom