Habari za jikoni wapishi! Nimeona fursa ya biashara mahala, wateja wanahitaji TENDE SHAKE na bei yake(as per market research) ni nzuri!naomba dondoo ya utengenezaji!
Wasalam
Mapishi mema!
Asante sana, japo ningetamani kupata hata hiyo ya nyumbani niwe hata na idea tu inakuwaje. Wapishi wengine Da #farkhina#gorgeousmimi#ladyfuraha#munkari na wengineo piteni pande za huku