Msaada jina la hii movie

Msaada jina la hii movie

Amaizing Mimi

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2019
Posts
489
Reaction score
1,102
Habarini wadau. Naomba kujua jina la hii movie.star wa ile picha anaitwa jonathan gabot(sina uhakika na spelling),ni picha flan ya kifalme ambapo jamaa wanapewa mitihani mingi halaf mshindi anamuoa mtoto wa mfalme.picha yenyewe imeigiziwa nchini nepal.
 
Kuna scene wafungwa wanakuwa kwenye shamba cjui la miwa lile halafu linachomwa moto,kuna scene nyingine tena wanapanda juu kwa kutumia kamba halaf zile kamba zinachomwa moto pia.ni picha ya kitambo sana nakumbuka niliiona miaka ya 1998 au 1999
 
Back
Top Bottom