Nimejaribu kutazama jina langu ktk waliokosea sijafanikiwa. Sijui ni device yangu au system. Please, nitazamieni, Juma Shabani. Kama wanaanzia jina la pili iwe Shabani Juma.
Msaada wenu wadau.
ungetoa na namba yako ya "O" level. Hata hivyo majina wameyapanga hovyohovyo badala ya kutumia PDF mtu kafanya kuya paste tu ili mradi. bila shaka watayapanga vizuri zaidi - na mwisho wa kurekebisha ni 30/08/2013