music mimi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 485
- 876
Mimi si mwenyeji wa iPhone lakini imenitokea kuna baadhi ya emoji sizioni, kuuliza nimeambiwa nifanye update.
Nachotaka kujua,
Process ya updating inatumia GB ngapi?
Naweza tumia simu nyingine kuwasha hotspot au lazima iwe WiFi kama hizi za public?
Kwa mfano nikienda restaurant, zoezi zima la update linaweza chukua muda gani?
Inawezekana nimeuliza maswali ya kishamba, ila wakuu mgeni siku ya kwanza kila mtu alijua kwa kufundishwa.
Asanteni!!
Ya sasa ni iOS 14 mkuuSasa hivi iko iOS ngapi ? Weka minimum gb 4 mpaka 5 . Weka bundle kwenye simu nyingine washa hotspot update, kila kitu itafanya yenyewe .. Simple
Wataalam nawapataje?kama internet speed ni ya kobe itakuchelewesha.onana na wataalamu ili wakuweke file lililo tayari
Wataalam nawapataje?
Ya sasa ni iOS 14 mkuu