Msaada jinsi gani ya kurudia mtihani wa kidato cha sita kwa mwaka huu 2023

Mr connecter

Member
Joined
Jul 13, 2023
Posts
16
Reaction score
4
Ndugu samahanini naomba kufahamishwa jinsi gani ya kuludia mtihani wa kidato Cha sita kwa mwaka huu 2023 kuhusu vituo hambavyo Ada zao huwa sikubwa kwa hapa daresalaam nahuwa shilingi ngapi kikawaida maana Kuna dogo hapa anatia huruma kwakweli nataka nimsaidie kwa hili
 
maskin suburi wadau waje
 
Piga veta ufundi stadi wowote, utawahi kufika kuliko kuhangaika na digrii za mchongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…