Msaada jinsi kuingiza sauti kwenye picha za video

92brow

Senior Member
Joined
May 15, 2016
Posts
142
Reaction score
168
Salaam wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba kufaham jinsi kuingiza sauti kwenye video kama wanavyofanya baadhi ya maDJ wanaotafsili picha mbalimbali na kuingiza sauti ndani ya picha hizo.
 
Acheche production haya sasa Kama kawaida kwa Mara nyingine tena ndani ya bonge la picha.....!! Vp Unataka kuwa mtangazaji wa muvi?
 
unatumia video editor yoyote, kifaa gani unacho utakachoeditia?
 
Ok mkuu ntakuja kukwambia matokeo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…