Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,326
- 3,444
kama haujui piga buyunenda kaulize AI
Kama ni Hisense VIDAA hapo hauna namna zaidi kukushauri ununue Android box ili upate access ya kuinstall android apps ikiwemo VLCwakuu heshima yenu,naomba msaada wa kueleweshwa ni namna gani naweza kuinstall vlc media player katika hisense ambayo ni smart tv? kwa maana haina playstore hivyo siwezi kudownload adroid based programs!
Natanguliza shukrani.
ni sahihi kbs mkuu na changamoto nyingine ni kuwa media player ya Hisense haina option ya kuongeza subtitle kama ilivyo kwa VLC pindi unapokuwa unaangalia moviesKama ni Hisense VIDAA hapo hauna namna zaidi kukushauri ununue Android box ili upate access ya kuinstall android apps ikiwemo VLC
VIDAA ipo very selective katika kusupport different playable files, unaweza weka flash ya movie 30 ikakubali kucheza 3 tu
Labda useme tu smart tv yako ipo katika group la Android tv, Google tv, VIDAA au Tizen.
itabidi tu nifanye hivyo ninunue android TV box,sina ujanjaKama ni Hisense VIDAA hapo hauna namna zaidi kukushauri ununue Android box ili upate access ya kuinstall android apps ikiwemo VLC