Msaada jinsi usaili wa electrical technician unavyokuwa

Mike Moe

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2019
Posts
319
Reaction score
335
Utumishi tayari imeita vijana kwenye interview post: electrical technician II, kwa wale ambao tayari mnau zoefu na interview hizi mmeshawahi kuzifanya naomba tusaidiane kujuzana namna ya maswali yanavyokuwa kuwa huko katika interview zote tatu
Written interview, practical interview, na Oral interview.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…