msaada jinsi ya ku apply hesbl

msaada jinsi ya ku apply hesbl

Anthony Threedeyea

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2013
Posts
471
Reaction score
47
mambo vipi watu wangu
nimemaliza kidato cha sita mwaka huu ila nili reseat mthiani kupata credit moja je nina sifa za kupata mkopo??
katika kujaza index number ya form 4 ntajaza hipi kati ya hiz mbili ya awali au niliyo kaa mtihani kwa mara ya pili???

Nta apply mkopo ila sina imani kama ntapata na nisipopata itabidi nirudi mtaani
Mungu wasaidie helsb watutendee haki hapa nilipo moyo wangu hauna amani nikifikilia gharama zinazoitajika kichwa kinauma....
 
umesoma masomo gani na una credit zipi..anzia hapo kwanza,na weka ya form four ya kwanza na form6 ya kwanza
 
Tumia namba ya kwanza kabisa kufanyia mtihani na kupata au kuto pata tujuze combination yako
 
Education utapata mkopo nje na hapo usiombe kabisa I mean kama huna malengo na education
 
education unapata but course nyengine ni bahati nasibu,fanya education then mbele ya safari utaangalia ustaarabu mwengine
 
Back
Top Bottom