mambo vipi watu wangu
nimemaliza kidato cha sita mwaka huu ila nili reseat mthiani kupata credit moja je nina sifa za kupata mkopo??
katika kujaza index number ya form 4 ntajaza hipi kati ya hiz mbili ya awali au niliyo kaa mtihani kwa mara ya pili???
Nta apply mkopo ila sina imani kama ntapata na nisipopata itabidi nirudi mtaani
Mungu wasaidie helsb watutendee haki hapa nilipo moyo wangu hauna amani nikifikilia gharama zinazoitajika kichwa kinauma....