Msaada: Jinsi ya ku-apply mkopo kwa mwaka wa pili.

Msaada: Jinsi ya ku-apply mkopo kwa mwaka wa pili.

josby

Member
Joined
Sep 8, 2012
Posts
85
Reaction score
1
Habari wanandugu! Naomba msaada wa hatua za kufuata na vitu vya kuambatanisha kwa mtu ambaye alikosa mkopo mwaka jana wakati anaanza first year,na anahitaji kuomba tena sahivi. Akhsante
 
Cheti cha kuzaliwa,cheti cha form 4,form six na uthibitisho kutoka mahakama w.ulikozaliwa na kuna form ya kuprint ambayo inatoka pale unaplipia
 
Asante mkuu,na vipi kuhusu malipo? Nalipa ile ile elfu30 au?
 
Back
Top Bottom