J josby Member Joined Sep 8, 2012 Posts 85 Reaction score 1 May 7, 2013 #1 Habari wanandugu! Naomba msaada wa hatua za kufuata na vitu vya kuambatanisha kwa mtu ambaye alikosa mkopo mwaka jana wakati anaanza first year,na anahitaji kuomba tena sahivi. Akhsante
Habari wanandugu! Naomba msaada wa hatua za kufuata na vitu vya kuambatanisha kwa mtu ambaye alikosa mkopo mwaka jana wakati anaanza first year,na anahitaji kuomba tena sahivi. Akhsante
M MAKASSY Member Joined Jan 16, 2013 Posts 95 Reaction score 26 May 8, 2013 #2 Cheti cha kuzaliwa,cheti cha form 4,form six na uthibitisho kutoka mahakama w.ulikozaliwa na kuna form ya kuprint ambayo inatoka pale unaplipia
Cheti cha kuzaliwa,cheti cha form 4,form six na uthibitisho kutoka mahakama w.ulikozaliwa na kuna form ya kuprint ambayo inatoka pale unaplipia
J josby Member Joined Sep 8, 2012 Posts 85 Reaction score 1 May 8, 2013 Thread starter #3 Asante mkuu,na vipi kuhusu malipo? Nalipa ile ile elfu30 au?