Abu Haarith JF-Expert Member Joined Oct 16, 2015 Posts 314 Reaction score 165 Jan 14, 2021 #1 Habari za majukumu wandugu, naombeni msaada wa program itakayoweza kunisaidia kuondoa simlock katika simu aina ya amazon au kama kuna mtu anaweza kufanya kazi hii aje PM Natanguliza shukrani.
Habari za majukumu wandugu, naombeni msaada wa program itakayoweza kunisaidia kuondoa simlock katika simu aina ya amazon au kama kuna mtu anaweza kufanya kazi hii aje PM Natanguliza shukrani.
IBRA wa PILI JF-Expert Member Joined Oct 12, 2017 Posts 1,503 Reaction score 2,426 Jan 15, 2021 #2 Ngoja Chief-Mkwawa atakuja