Slow learner Member Joined Jul 6, 2019 Posts 18 Reaction score 8 Sep 9, 2020 #1 Habari wakuu! Naomba kwa anayefahamu jinsi ya Ku unlock simu ya Nokia ya torch iliyosahaulika password anisaidie tafadhali Naomba kuwasilisha.
Habari wakuu! Naomba kwa anayefahamu jinsi ya Ku unlock simu ya Nokia ya torch iliyosahaulika password anisaidie tafadhali Naomba kuwasilisha.
Spacefox Senior Member Joined Aug 10, 2020 Posts 112 Reaction score 118 Sep 10, 2020 #2 Waone mafundi wa MobileSoftware walioko karibu nawe