Msaada jinsi ya Kuactivate ofa ya simu iliyonunuliwa Tigo shop

Msaada jinsi ya Kuactivate ofa ya simu iliyonunuliwa Tigo shop

Fountain of Youth

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2019
Posts
1,026
Reaction score
2,299
Habari wakuu. Mwezi uliopita nilinunua simu Tigo shop redmi 10 A na nikaungwa na ofa zilikua GB 5 Kwa ajili ya mwezi uliopita na muhudumu akaniambia kuwa ofa ni ya mwaka mzima na kila mwezi nitakua napata GB kadhaa sasa Leo ni tarehe 1 ila Naona patupu. Naomba msaada Kwa anejua jinsi ya Kuactivate offer hii anisaidie.
 
Back
Top Bottom