Msaada jinsi ya kuagiza simu za Tecno na Itel kwa bei ya kiwandani

mkuu bado unashulika na hii bzness, naweza kuwa mteja wako boss
 
Njia zote zinatumika mkuu,
Wapo wanaotumia meli na wanaotumia ndege.

Inategemea
1.Una uharaka kiasi gani na mzigo
2.Faida ya mzigo ikoje
Kwasababu ndege ni gharama kubwa.
Makadirio kwenye ndege nikama Bei Gani ukilinganisha na kwenye melii
 
Sasa mkuu

Nilitaka kujua mkoa ulipo sio kwa lengo baya
Ila kwa bei ulizotaja bado kuna watu wanaweza kukuuzia kwa bei nzuri hapo ulipo na baadae ukipata uzoefu zaidi haohao ndio watakuunganisha kuwa argent.
Habar ndug
 
Habar ndg
 
Asanteni sana kwa ushauri wenu nimeamua kuanzia tu kwa magenti kabla sijaenda huko china.Naamini nikipata uzoefu nitajua na mchina mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…