Wilhelm Johnny
JF-Expert Member
- Jan 13, 2016
- 1,368
- 1,325
0658438825 nicheki tuyajenge upo wapi wwMahitaji:-
Unga kilo 2
Mayai 2
Sukari 5½ Kijiko cha chakula
Blue Band 2½ Kijiko cha chakula
chumvi 1 kijiko cha chakula
Vanila 2 vifuniko
B/powder 2½ tspn
Amira 3½ Kijiko cha chakula
Naombeni msaada niongeze nini hapo au nipunguze nini. Kusudi niweze kupata andazi laini lililojaa ndani vizuri na liweze kudumu muda mrefu. Ni kwa ajili ya biashara
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee mimi ni boy mkuuWatu kimyaaaa!
Lakini dada ulipoanza kudodosa hiyo list yako nikajua ndiyo unatoa somo, kumbe...
Inategemea na baking powder ipi unayowekaVanila,B/powder huwa siweki kwenye maandazi kuepusha kuwa na ladha ya keki.
Mahitaji:-
Unga kilo 2
Mayai 2
Sukari 5½ Kijiko cha chakula
Blue Band 2½ Kijiko cha chakula
chumvi 1 kijiko cha chakula
Vanila 2 vifuniko
B/powder 2½ tspn
Amira 3½ Kijiko cha chakula
Naombeni msaada niongeze nini hapo au nipunguze nini. Kusudi niweze kupata andazi laini lililojaa ndani vizuri na liweze kudumu muda mrefu. Ni kwa ajili ya biashara
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo ukiweka baking powder maandazi yanabadilika radha kama keki
Tatizo ukiweka baking powder maandazi yanabadilika radha kama keki
Asante kwa ushauri mamyUsiweke baking powder ile ya kijani ya zamani ya keki tumia ya simba nayo Ni ya kijani inafanya andazi liwe laini na zuri na usizidishe kipimo. Tumia kijiko kimoja kwa kilo moja
Sent using Jamii Forums mobile app
Nataka nikaanga maandazi kwa unga kilo 1, ya kula mimi mwenyewe nyumbani, mahitaji, maandalizi mpaka kufikia kuliwa nielekeze tafadhali.
MatayarishoKama hapo juu kwa kipimo cha kilo moja huwa naweka baking powder kijiko kimoja, hamira kijiko kimoja, sukari vijiko 5 ( unaweza kuongeza kulingana na sukari unayopenda), yai moja. Maandazi yanakaa mpk wiki ila sijawahi weka zaidi ya hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
kijiko kidogo cha chai au cha chakulaUsiweke baking powder ile ya kijani ya zamani ya keki tumia ya simba nayo Ni ya kijani inafanya andazi liwe laini na zuri na usizidishe kipimo. Tumia kijiko kimoja kwa kilo moja
Sent using Jamii Forums mobile app