Msaada jinsi ya kuandaa Sales plan

McMoze

Member
Joined
Oct 23, 2011
Posts
49
Reaction score
8
Habari za kazi wakuu wa kazi.

Naomba msaada kwa yoyote mwenye uzoefu au mwenye sample ya kitu kinaitwa SALES PLAN. Nahitaji kuingiza bidhaa zangu za simu sokoni, naomba kama kuna mwenye uzoefu au sample anitumie katika e-mail hii apa, dmmayunga@gmail.com

Asanteni sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…